#HabarizaUN #UmojawaMataifa #Kiswahili #UNNewsKiswahili
Wakimbizi kutoka nchini Rwanda na Burundi wanaopata hifadhi katika nchi Jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC wamepata matumaini mapya ya maisha baada ya shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR na shirika lisilo la kiserikali ya AIDES kuwawezesha kuanzisha mradi wa kazi za Sanaa ambao unawasidia kujikimu kimaisha Pamoja na familia zao.
Wakimbizi hao pia wameishukuru serikali ya DRC ambao imekuwa ikikirimu wakimbizi kutoka katika nchi hizo mbili kwa zaidi ya miaka 20 sasa.
Byobe Malenga mwandishi wetu wa Kinshasa alifunga safari hadi Goma Kivu Kaskazini waliko wakimbizi hao na kuzungumza nao.
Ещё видео!