Sporah ameeleza safari yake ya online dating ambapo ilikua na changamoto lakini alisimamia nia yake na kujua nini anataka
Alikutana na mume wake kupitia online lakini baadae umbali ulikua ni changamoto na kuweza kuvunja mahusiano
Baada ya mwaka kupita waliwasiliana tena na sasa wameoana na wanaishi Switzerland
Thanks Sporah for allowing this to be online
www.oda.international
Ещё видео!