Jux delivers the official video for Unaniweza, off his 2019 album titled 'The Love Album'. Audio produced by Abba Touches and Video shot & Directed by InnoStuart( STUWORKS) in Bali, Indonesia 🇮🇩 and some of shots by Bm Visuals in Serengeti, Tanzania 🇹🇿.
The video shows Jux and his Girlfriend Nnayika enjoying their life. Jux and Nnayika, they believe that being deeply loved by someone gives you strength, while loving someone deeply gives you courage. Enjoy the video
The Love Album Available Worldwide:
[ Ссылка ]
© 2019 African Boy
Follow Jux
Facebook: [ Ссылка ]
Instagram: [ Ссылка ]
Twitter: [ Ссылка ]
Subscribe here: -
[ Ссылка ]
[ Ссылка ]
Digital distribution: [ Ссылка ]
More from Jux:
Sugua ft. Diamond Platinumz: [ Ссылка ]
Wambela ft. Ruby: [ Ссылка ]
Sugarcane: [ Ссылка ]
Intro:
Abbah
Verse:
Pindi ukicheka we,
Mi moyo unanitabasamu
Huwa mwenye kujihisi mororoo
Ila ukilia we,
Hata kula nakosa hamu
Huwa mwenye kujihisi dororo
Pre-Chorus:
Ukiwa karibu na mie
Najiona bora
Lakini ukiwa mbali baby
Baridi linachoma
Uwepo wako we na mie
Umetia fora
We ndo daktari darling nikitaka kupona
Chorus:
Unaniweza weza
Unaniweza weza
Unaniweza weza
Unaniweza weza
Verse:
Sitamani mwingine
Wala sidhani ka ataweza kutokea
Maana mambo yako moto moto moto
Labda upite ushetani mwingine
Maneno ya watu nishazoea i don’t care
Kila kukicha chokochoko
Unavyonipa rahaa
Ndo na nenepa mie
Penzi lako na tinga na ringa na bembea
Kinachokufaaa
Usisite niambie
Kwako niko radhi, hata zege nibebe machinga ni nadishee
Pre-Chorus:
Ukiwa karibu na mie
Najiona bora
Lakini ukiwa mbali baby
Baridi linachoma
Uwepo wako we na mie
Umetia fora
We ndo daktari darling nikitaka kupona
Chorus:
Unaniweza weza
Unaniweza weza
Unaniweza weza
Unaniweza weza
Outro:
Unaniweza weza
Yeiyeeee, I do it for love, For love
Unaniweza weza
For love , For love , I do it for love
Yeeeee
Unaniweza weza
#Jux #TheLoveAlbum #Unaniweza
Jux - Unaniweza (Official Music Video)
Теги
UnaniwezaTheLoveAlbumJuxAlikibaVanessaMdeeTetemaWizkidDavidoTiwaSavageRayVannyMbossoBurnaBoyNandyHarmonizeTrendingInTanzaniaFallyIpupaParteAfterPartePopularInTanzaniaMagufuliMakondaYopeRemixDespacitoShapeOfYouEdSheeranSeeYouAgainUptownFunkNyashinskiLiftMeUpTeknoTanashaDonnaSuguaKhaligraphJonesPopularInKenyaTrendingInKenyaHainistuiTeamoFlowersGereOtileBrownMejaKuntaWasafiDiamond PlatnumzJejeLava LavaDarassaILikeItSuzannaSauti SolDr Mwaka