Mwenyekiti wa IEBC Wafula Chebukati apinga mabadiliko kupitia BBI
Chebukati asema IEBC imekuwa ikiandamwa na kuna njama ya kuidhalilisha
Chebukati asema vita dhidi ya IEBC vimekuwepo tangu mwaka wa 1992
BBI inapendekeza makamishna wapya kabla ya uchaguzi wa mwaka wa 2022
BBI inapendekeza naibu mwenyekiti anayeweza kumridhi mwenyekiti akiondolewa
Ещё видео!