MAGOLI NA KADI NYEKUNDU: #Hattrick ya Jean Baleke imeipa Simba ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Coastal Union, mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa leo kwenye Dimba Uhuru Dar es Salaam.
Baleke amefunga magoli yote matatu ndani ya dakika 40 za kwanza, dakika ya 7, 11 na la tatu dakika ya 40 kwa mkwaju wa penati.
Katika mchezo huu pia, Coastal Union wamepata pigo baada ya kiungo wake Haji Ugando kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 19.
Ещё видео!