Iikiwa ni siku mbili zimepita tangu TAKUKURU kuwafikisha Mahakamani watuhumiwa wa ESCROW na IPTL ambapo watu mbalimbali wamekuwa wakiipongeza hatua hiyo ya Serikali…leo June 21, 2017 Baraza la Vijana la CHADEMA ‘BAVICHA’ Taifa kupitia kwa Mwenyekiti wake Pastrobas Katambi wameuelezea mchakato huo na kutoa ahadi kwa Rais Magufuli akiwafikisha Mahakamani wote walioshiriki.
Ещё видео!