Subscribe [ Ссылка ] ili upate kubarikiwa na nyimbo za ibada kwa lugha ya kiingereza
1.Mungu wetu yeye mwamba, Kimbilio taabuni;
Msaada penye shida ulio karibu sana.
Mwamba wetu kutupumzisha, yu kivuli kuburudisha
Yu Mwongozi katika njia, kimbilio taabuni.
2.Mchana usiku,yule kimbilio taabuni,
Hivyo hatuta ogopa, kwani yu karibu sana.
3.Iwayo yote, Yeye tu kimbilio taabuni,
Twamjua Yeye Mlinzi aliye karibu sana.
4.Mungu wetu Ficho kwetu, kimbilio taabuni.
Siku zote uwe Boma lililo karibu sana.
Mungu wetu yeye mwamba. Nyimbo za Kristo No:20
Теги
gospel musicyesu nakupendabrenda dama mwemakomando wa yesuchristina shusho songsnyimbo za Kristokanisa la mwenyezi mungunyimbo za dininyimbo za injilievelyn wanjiru songseunice njeri songskenyan gospel songsiWillGostu_events_solutionhope_media_stusdachurchkenyan gospel musicmungunyimbo za kuabudunyimbo za tenzi za rohoniyesu nakupenda u mali yangubrenda dama songsmsanii music chorale familyGideon Kasozi