Safari hii haachwi mtuuu!
NMB Pesa Akaunti ni akaunti ya kidijitali na ya haraka zaidi Tanzania ambayo ukiwa na kitambulisho chako na buku tu, unaifungua chap.
Baada ya hapo utateleza na:
✅ Mikopo isiyo na dhamana
✅ Kutoa, kuweka au kutuma pesa
✅ Kulipia bili
✅ Kubwa zaidi; hakuna ada za kila mwezi
Yote kupitia simu yako tu (kitochi au simu janja).
Tunaenda kuhakikisha huduma zetu bora na bunifu zinakuwa sehemu ya maisha ya kila Mtanzania.
Upo tayari kuteleza kidijitali?
#NMBPesaAkaunti #TelezaKidijitali
Ещё видео!