Chuo kikuu cha Dar es Salaam kinawapa tuzo jumla ya wahitimu 580 katika ngazi ya Uzamivu, Umahiri, Uzamili, Shahada za Awali, Stashahada na astashahada.
fatilia Mlimani TV kupitia kurasa zetu za instagram, na Facebook pia sikiliza 106.5 Mlimani Radio