“…Wizara yangu na Azam TV ni kama damu na mishipa…bila mishipa damu inamwagika yote na mtu anakufa…” - Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa akielezea mafanikio yaliyofanywa na kamati za hamasa zilizopita, pamoja na mchango mkubwa wa Azam TV katika kukuza michezo Tanzania.
#AzamTVUpdates
Imeandaliwa na John Mbalamwezi
Ещё видео!