Kwa mujibu wa taarifa ya ukaguzi ya CAG kwa mwaka 2018, taasisi na mashirika yenye hali mbaya kifedha;
Baraza la Michezo la Taifa
ATCL
Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Lindi
TPDC
Bodi ya Utalii Tanzania
Dawasco
Kampuni ya Maendeleo Nishati Joto
Baraza la Taifa la Biashara
Mamlaka ya Maji Safi Mtwara
Mamlaka ya Maji Safi Mwanza
Tanesco
TTCL Pesa
Bodi ya Maziwa Tanzania
Dawasa
#AzamTVUpdates #AzamTVApp #RipotiYaCAG2018
Ещё видео!