Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amefariki dunia majira ya saa 5.26 asubuhi ya leo Februari 17, 2021 katika Hospitali ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu.
Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt Hussein Ali Mwinyi ametangaza msiba huo na kutangaza siku saba za maombolezo.
#BreakingNews #AzamTVUpdates
Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
►INSTAGRAM: [ Ссылка ]
►INSTAGRAM: [ Ссылка ]
►TWITTER: [ Ссылка ]
►FACEBOOK: [ Ссылка ]
►WEBSITE: [ Ссылка ]
Ещё видео!