Yamkini umesikia sana kuhusu msongo wa mawazo unao zitesa familia nyingi na labda familia yakwako pia inateseka hivyohivyo. Lakini yapo maeneo mengine manne ambayo wengi huya nyamazia au huyasahau na hivyo kusumbua sana familia nyingi. Ni bora uyajue vema ili yasikutese na wewe #DrChrisMauki #Stress #ZaFamilia
Ещё видео!