Wagonjwa 50 kati ya 54 wanaodaiwa kunywa pombe ya kienyeji yenye sumu mkoan
Wagonjwa 50 kati ya 54 wanaodaiwa kunywa pombe ya kienyeji yenye sumu mkoani Songwe, wameruhusiwa kutoka hospitalini baada ya kupata nafuu.
Hata hivyo watu wengine wawili wamelazwa kwa tatizo hilo na kufanya idadi ya wagonjwa walioko hospitalini kuwa 6.
Ещё видео!