Maradhi ya moyo yamekuwa yakiathiri watu kwa njia mbalimbali ikiwemo hata moyo kuwa na tundu haswa kwa watoto wadogo.Lakini je unafahamu kwamba moyo wa binadamu unaweza kufura na kushindwa kutekeleza majukumu yake na kupelekea mtu kutolewa na kupachikwa moyo mwingine. Mwanahamisi Hamadi anatueleza mengi kuhusu halihiyo katika siha na maumbile.
Ещё видео!