Je, ilistahili kuwa penati? na vipi kuhusu 'goli' la Aziz Ki?.
Wote wamekubaliana kwamba Simba walistahili kupewa penati na Yanga walinyimwa goli halali.....
Sikia maoni ya wachambuzi Ramadhan Mbwaduke na Godlisten Muro kuhus matukio makubwa yaliyozua utata katika mchezo huu wa nusu fainali kati ya Yanga vs Simba uliopigwa leo Nanenane kwenye Dimba la Benjamin Mkapa Dar es Salaam.
Ещё видео!