Bondia Charles Tondo aliingia kwa mbwembwe akijiandaa kukabiliana na Haidari Mchanjo kwenye shughuli ya kupima uzito.
Kwani, nyie hamuogopi????
Kimbembe ni kesho Juni 29, LIVE #AzamSports3HD kuanzia saa 1:00 usiku, pambano kuu likiwa ni Nassib Ramadhan vs Juma Choki.
(✍️ @abuuyusuftz)
#DarBoxingDerby #NyieHamuogopi #Vitasa #UsikuWaVitasa #NassibRamadhan #JumaChoki
Ещё видео!