Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini, Aretas Lyimo amefanya mkutano na wanakijiji wa Kisimiri juu, wilayani Arumeru mkoani Arusha.
Elimu hiyo imetolewa kwa wananchi inafuatia siku nane za operesheni ya kuteketekeza mashamba ya kilimo cha bangi iliyokwenda sambamba na ukamataji wa zao hilo likiwa tayari kwa usafirishwaji.
#AzamTVUpdates #AzamNews @dceatanzania
Ещё видео!