WAZIRI AWESO ATOA AGIZO Kwa KATIBU MKUU WIZARA ya MAJI, "NAOMBA UITISHE KIKAO cha DHARURA"...
Waziti wa maji Jumaa Aweso amemuagiza katibu mkuu wizara ya maji Eng,Sanga kuhakikisha anahitisha kikao cha haraka baina ya watu wa bank ya maendeleo TIB Bank pamoja na katibu mkuu wa wizara ya fedha ili kutoa fursa kwa mamlaka za maji nchini ili kutatua changamoto za maji.
Agizo hilo amelitoa kwenye hafla ya kuanza kwa mradi wa kuboresha hali ya hupatikanaji wa huduma ya maji safi Tanga awamu ya pili.
Mradi huo unatekelezwa kwa mpango wa ndani chini ya mpango wa wizara ya maji wa Investment Financing Facility Output Based Aid [Off-Oba] kwa ufadhili wa bank ya TIB ambapo jumla ya Bilioni 9,180,580,874 zitatumika mpaka kukamilika kwake.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:[ Ссылка ]
⚫️ iOS:[ Ссылка ]
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: [ Ссылка ]
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: [ Ссылка ]
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: [ Ссылка ]
⚫️ GLOBAL RADIO TV: [ Ссылка ]
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: [ Ссылка ]
⚫️ Subscribe Global TV [ Ссылка ]
Ещё видео!