Wimbo mzuri ambao watoto wanaelezea ratiba zao za kila siku.
Karibuni Lala Land, ulimwengu wa maajabu ambapo watoto wa miaka 3-6 watafurahia kuungana na Akili! Watajifunza namba, herufi, kuchora na Kiingereza!
Subscribe kwenye channel hii kupata video bure za kujifurahisha kila wiki kutoka kwa Akili and Me! Edutainment iliyotengenezwa Afrika, kwa Afrika. [ Ссылка ]
Angalia "Akili and Me": [ Ссылка ]
[ Ссылка ]
[ Ссылка ]
Akili and Me ni kipindi cha elimu burudani kinachotengenezwa na Ubongo Media.
[ Ссылка ]
Made possible by the Human Development Innovation Fund, funded by UKAid, Grand Challenges Canada: Saving Brains
#SwahiliAlphabet #Elimu #AkiliandMe
Ещё видео!