Wanawake wengi hukutana na changamoto ya kuwa na tumbo kubwa baada ya kujifungua, asilimia kubwa hujaribu kupambana na changamoto hii lakini wengi wao huwa hawafanikiwi kurudisha tumbo kama ilivyokuwahapo awali hii ni kutokana na wengi kutokuwa na uelewa au njia sahihi ya kupunguza tumbo baada ya kujifungua. Katika video hii nimekuandalia njia 8 zitakazokusaidia katika kupunguza tumbo la uzazi.
Ещё видео!