Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya, amemtaka Mkandarasi anayejenga barabara ya Katumba - Mbambo - Tukuyu (km 18) kwa kiwango cha lami anakamilisha ujenzi wa barabara hiyo haraka iwezekanavyo ili kufungua zaidi maendeleo ya kiuchumi na kijamii wilayani Rungwe na Busokelo, mkoani Mbeya
Ujenzi wa barabara hiyo umefikia yenye ureu wa kilimita 18 Hadi kufikia Sasa umekwisha kamilika Kwa asilimia 50.
Ещё видео!