Watoto wawili ambao ni mapacha wenye umri wa miaka 13 wanaosoma Darasa la Tano katika shule ya msingi Rebu wilayani Tarime mkoani Mara wamedai kubakwa na Baba yao wa kambo ambae anaishi na mama yao kwa sasa ambapo wameiomba Serikali pamoja na mashirika yanayopinga vitendo vya ukatili kwa watoto kuingilia kati kutokana na kuharibiwa Ndoto zao hasa za kielimu.
------------
Facebook: [ Ссылка ]
Twitter: [ Ссылка ]
Subscribes: [ Ссылка ]
Ещё видео!