Jifunze tips 7 boost kujiamini/self confidence zaidi hili ni tatizo la watu wengi sana limekuwa likikosesha michongo na nafasi mbalimbali kwa watu, nafasi kama za kazi, kwenye interviews mbalimbali na uongozi acha tuwe wa kweli hakuna mtu anayetaka kuongozwa na kiongozi ambaye hajiamini right.Mi pia nilikuwa muanga wa tatizo hilo nilikuwa siwezi hata kuongea mbele za watu na kukosa nafasi nyingi tu katika maisha yangu. Lakini niliweza kutatua tatizo langu na kuweka kujiamini japo si kitu kinachotokea tu lazima uidevelop kila siku.Na ndo maan leo nashare na wewe tips 7 nilizofanya na ambazo zimenisaidia kuboresha na kukuza KUJIAMINI. Ungana na mimi hadi mwisho wa video hii.Karibu
........................................................................
Download free Tubebuddy na install Kwenye computer yako au kwenye simu zote Android au iOS na iPad pia ambayo itakusaidia
1.Kurank videos zako
2.Itakuonesha Live subscribers count
3.Itakuonesha Milestones za channel yako na mengi, download sasa 👉 [ Ссылка ]
🔴 SUBSCRIBE MY CHANNEL 👇
[ Ссылка ]
🔴Follow me on IG- [ Ссылка ]...
🔴Twitter - [ Ссылка ]
🔴TAZAMA VIDEOS ZANGU ZINGINE AMBAZO UTAZIPENDA 👇👇
⚡SIRI ZA MAFANIKIO KWA KIJANA YEYOTE MWENYE MALENGO MAKUBWA MWAKA 2020 👉[ Ссылка ]
⚡JINSI YA KUTIMIZA MALENGO MWAKA 2020:Kanuni 3 lazima uzifuate kama unataka timiza malengo/ndoto yako 👉[ Ссылка ]
⚡KAMA UPO SERIOUS KUBADILISHA MAISHA YAKO MWAKA 2020 FANYA HAYA: Usiweke New Year Resolutions 👉[ Ссылка ]
⚡SABABU 6 ZA WEWE KUPOTEZA MOTISHA/HAMASA: Acha ili ufanikiwe kufanikisha malengo na ndoto mwaka 2020 👉 [ Ссылка ]
⚡KAA MBALI NA MARAFIKI WENYE DALILI HIZI : Ndo chanzo cha kushindwa kufanikisha mengi katika maisha 👉 [ Ссылка ]
⚡TABIA 3 ZA MAFANIKIO ZA KUWA NAZO: Ili ufanikiwe katika malengo na ndoto zako mwaka 2020 👉 [ Ссылка ]
⚡KANUNI 4 ZA MAFANIKIO KATIKA BIASHARA 2020 : Nilizojifunza kutoka kwa JACK MA 👉 [ Ссылка ]
⚡JINSI YA KUFANIKISHA MALENGO YAKO 2020: Kufikia mafanikio, furaha, na kuishi maisha ya ndoto zako 👉[ Ссылка ]
⚡JINSI YA KUWA MJASIRIAMALI MWENYE MAFANIKIO NA KUTENGENEZA PESA NZURI KATIKA BIASHARA 👉[ Ссылка ]
#Kujiamini #SelfConfidence #Selfesteem
Ещё видео!