WAZIRI JAFO AGOMEA KUZINDUA MRADI KWEUPE
Waziri wa nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Mhe. Suleiman Jaffo ameahirisha kuzindua mradi wa maji katika kijiji cha Itiso, wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma baada ya wananchi wa eneo hilo kuonyesha utovu wa nidhamu kwa kuharibu miundombinu ya maji inayotengeezwa kupitia mradi wa maji unaoendelea kijijini hapo.
Agosti mwaka jana Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Tawala za mikoa na serikali za mitaa Mhe. Suleiman Jaffo alifika katika kijiji cha Itiso Wilayani Chamwino mkoani hapa ili kujionea maendeleo ya mradi huo ambapo alibaini baadhi ya mapungufu na kuchukua maamuzi ya kumbadilisha mhandisi.
Wananchi hawa wamempokea kwa mabango yenye jumbe mbalimbali kwa Waziri huyo kupinga uzinduzi wa mradi huo wakidai una mapungufu mengi.
Subscribe muda huu www.youtube.com/user/uwazi1 Install #GlobalPublishersApp Android: [ Ссылка ] iOS: [ Ссылка ] Subscribe [ Ссылка ] FACEBOOK: [ Ссылка ]... TWITTER: [ Ссылка ] Visit
[ Ссылка ], Subscribe [ Ссылка ] Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… [ Ссылка ] [ Ссылка ] [ Ссылка ] WEBSITE: [ Ссылка ] FACEBOOK: [ Ссылка ]... TWITTER: [ Ссылка ] INSTAGRAM: [ Ссылка ]
Ещё видео!