Viongozi wa jumuiya ya maendeleo ya kusini mwa Afrika SADC wameanza mkutano wao wa kawaida wa 42 unaoendelea hivi sasa mjini Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC.
Rais Samia Suluhu Hassan ni miongoni mwa viongozi hao ambapo Mkutano huo ni wa siku mbili na una kauli mbiu ya kuweka mkazo wa kukuza sekta ya viwanda na hasa katika usindikaji wa mazao ya kilimo, kuongeza thamani ya madini na pia kutengeneza mazingira ya uchumi jumuishi.
Ещё видео!