Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro akitoa majibu kuhusu sakata la kupotea kwa wanachama wa Chadema wiliaya ya Temeke, Deusdedith Soka ya wenzake, alipofanya mahojiano kwenye kongamano la kitaifa linalojadili matukio ya utekwaji na upoteaji wa rais nchini, lililoandaliwa na Chama Cha wanasheria nchini TLS.
Ещё видео!