Wizara ya afya iko tayari kuzindua mkakatati wa kupima mara tatu virusi vya ukimwi jinsi ilivyopendekezwa na shirika la afya duniani ili kupata matokeo sahihi na kamili. Uchunguzi huo unaojumuisha utumizi wa vifaa vitatu tofauti mfululizo utahakikisha matokeo sahihi kuhusu virusi vya HIV pamoja na kuimarisha juhudi za Kenya za kukabiliana na maambukizi ya virusi hivyo
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: [ Ссылка ]
Follow us on Twitter: [ Ссылка ]
Find us on Facebook: [ Ссылка ]
Check our website: [ Ссылка ]
#KBCchannel1 #Kenya #News
Ещё видео!