Kinara Wa Azimio la Umoja Raila Odinga amemtaka mwenyekiti wa tume ya mipaka na uchaguzi Wafula Chebukati kama mhalifu anayestahili kuwa jela baada ya kuvuruga uchaguzi mwingine tena. Raila pia amekashifu jopokazi linalowachunguza Juliana Cherera, Francis Wanderi, Julius Nyang'aya ambao walijiuzulu pamoja na Irene Masit ambaye hajajiuzulu. Kwa mara ya kwanza, Raila amemwondolea lawama rais mstaafu Uhuru Kenyatta na washirika wake kwa yaliyojiri uchaguzini, huku akiashiria mageuzi ya katiba mwaka ujao.
Ещё видео!