karibuni kutazama, kusikiliza na kutafakari wimbo wa jubilei ya padre CHRISOGON VULSTAN. Paroko wa parokia ya Mt Fransisko Ksaveri CHUO KIKUU CHA DODOMA Jimbo kuu katoliki la Dodoma.
Jina la Wimbo: Hongera padre Chrisogon
Mtunzi: Simon Mwanisenga
Waimbaji: Kwaya ya Mt Yohane Paulo wa pili UDOM
Soloist: Despina Mdende
Kinanda: Ephrahim Kashusha& Simon Mwanisenga
STUDIO
Audio: Ave Maria production
Video: Divine studio
Ещё видео!