Siku moja baada ya vyama vya upinzani nchini Tanzania ACT Wazalendo kutangaza kumuunga mkono mgombea wa CHADEMA, Tundu Lissu kuwa na mgombea mmoja wa Urais, Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa nchini humo imesema kufanya hivyo ni kuvunja sheria.
Vyama vya upinzani vinavyoonekana kuwa na nguvu vya ACT Wazalendo na CHADEMA ambacho ni chama kikuu cha upinzani , vimeweka bayana lengo lao la kutaka kushirikiana, vikisema vitatangaza rasmi hatua hiyo Oktoba 3, ya mwaka huu.
#AMKANABBC
#ACTWAZALENDO
#CHADEMA
Ещё видео!