Moto ambao chanzo chake bado hakijajulikana umeteketeza sehemu ya mgahawa wa mfanyabiashara maarufu Aslay Mihogo, maeneo ya Coco Beach jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, moto huo ulianza saa 11 alfajiri na kuteketeza eneo la mfanyabiashara huyo.
Jeshi la Zimamoto wamefanikiwa kuudhibiti moto huo usisambae licha ya kuteketeza banda lote.
Endelea kufuatilia Mwananchi.
Ещё видео!