VOL 4
ninafikiria sana na kutafakari jambo hili mimi
Jinsi ulimwengu ulivyogeukageuka kama kinyonga
Ukweli umegeuka na kufanyika kuwa uongo leo
Msema kweli muovu muongo yeye wakili wa mambo yote
Shetani mbaya amezizunguka roho za watu
Anawadanganya kwa mambo mazuri pia na anasa
Kanuni zake ngumu Amri zake nazo zinashangaza shangaza
Mbuzi wa kijani, ng'ombe wa dhambarau, kuku mwenye pembe,
huyo utampata wapi
Njoo kwake Yesu, hahitaji haya,
Kanuni tubu dhambi
uingie mbinguni kwa baba
Ещё видео!