Kila mwaka visa ya wasichana kukeketwa huripotiwa mara kwa mara na hufuatiwa na kampeni za kukomesha itikadi hiyo miongoni mwa jamii za Kenya. Katika jamii ya Kalenjin, ingawa wasichana wengi walio na umri wa kuwa shuleni hawaendi kukeketwa , kumekuwa na ongezeko la wale wanaokeketwa wakiwa katika ndoa hasa katika eneo la Mogotio mpakani mwa kaunti za Nakuru na Baringo.
Ещё видео!