Watanzania milioni 21 wamepata namba za vitambulisho vya Taifa huku vilivyochapishwa vikiwa ni milioni 19 ambavyo hadi sasa inadaiwa havijachukuliwa na wenyewe na kuifanya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) mwezi Oktoba mwaka huu kuzindua utaratibu wa kuvipeleka vitambulisho hivyo katika ngazi ya serikali za mitaa, ofisi za vitongoji na kata ili iwe rahisi kwa wananchi kuvichukua.
Ещё видео!