Vitabu ni hazina. Kupitia vitabu akili zetu zinakutana na akili kubwa. Katika vitabu watu wenye mafanikio wanaongea nasisi, wanatupa mawazo yao na uzoefu wao katika mafanikio. Vitabu ni sauti ya watu ambao wako mbali nasisi na hatuwezi kukutana nao, ni sauti ya watu waliokufa wakituachia urithi na hazina ya mawazo yao.
Vitabu vinatupa usawa, na yeyote anae vitumia kwa usahihi na kuviamini vina muweka katika ulimwengu mmoja na watu wakubwa na mashuhuri wanaoishi na waliowahi kuishi katika hii dunia.
Haya sio maneno yangu, ni maneno ya William Channing, kama alivyonukuliwa na Ben Cason katika kitabu chake ya Think Big.
Naitwa MFAUME HASSAN, na karibu katika channel yangu ya SIRI ZA VITABU.
Nikufunulie siri zilizofichwa katika vitabu. Nikufunulie ubongo wa watu mashuhuri na waliofanikiwa.
Unaweza kufuatilia Siri za Vitabu
Instagram: www.instagram.com/siri_za_vitabu
Facebook: [ Ссылка ]
Email: mfaumehassan@gmail.com
Contacts: 0745624754
Ещё видео!