MBOWE ACHARUKA KUHUSU LISSU "KUHUSU KUNG'ATUKA" SALIM KIKEKE AMHOJI
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ngazi ya Taifa ambaye pia ni mgombea wa nafasi hiyo hiyo kwenye uchaguzi mkuu wa chama hiko unaotarajiwa kufanyika mwisho wa mwezi wa Januari 2025 kwa mara ya kwanza ameketi kwenye mahojiano na chombo cha habari tangu alipotoka kifungoni, Mbowe amefanya mahojiano na Salim Kikeke kwenye kipindi cha KASRI cha CROWN FM 92.1 kwa saa 1 na nusu na hii ni sehemu ya kwanza ya mahojiano hayo kuelekea uchaguzi huo baada ya mtafaruku mkubwa kuzuka kati yake na mgombea mwenzake ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa sasa wa chama hiko Tundu Antipas Lissu.
#chadema #mbowe #lissu #trending
Hii ni CROWN MEDIA, 92.1 CROWN FM & CROWN TV
Follow us on Social Media Platforms
Instagram:
Crown FM - [ Ссылка ]
Crown TV - [ Ссылка ]
Twitter (X):
CROWN MEDIA SWAHILI: [ Ссылка ]
CROWN MEDIA ENGLISH: [ Ссылка ]
Facebook:
CROWN MEDIA: [ Ссылка ]
TIKTOK:
- [ Ссылка ]
SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: [ Ссылка ]
Ещё видео!