Walalamishi Raila Odinga na Martha Karua katika kesi inayopinga matokeo ya uchaguzi wa urais wameiambia mahakama ya upeo kuhusu jinsi teknolojia ya uchaguzi ilihitilafiwa na watu ambao ni raiya wa Kenya na hata wa nchi za kigeni. Walalamishi hao wamesema kulikuwa na wafanyakazi wa IEBC ambao hawakuwa wameteuliwa kuwa na mamlaka ya kusimamia shughuli muhimu za kushughulikia matokeo ya uchaguzi, wakitumika kufanya mabadiliko katika fomu za matokeo.
Ещё видео!