Mtakatifu ni Wewe Bwana
Ni wimbo wa imani, unaobeba sifa na utukufu. Kwa kadiri Mungu anavyofanya makuu katika maisha yetu tunazidi kuuona utakatifu wake.
„Amin, amin, nawaambieni, Yeye aniaminiye mimi, kazi nizifanyazo mimi, yeye naye atazifanya; naam, na kubwa kuliko hizo atafanya, kwa kuwa mimi naenda kwa Baba.“
Yn 14:12
Mambo anayoyafanya ni makubwa kuliko tunavyoweza kufikiria. Uwepo wake unadumu siku zote. Na sifa zake zinapaswa kujulikana na mataifa yote.
Tunaamini kazi zake anazozifanya
Tunatambua utakatifu mkuu alionao
Tunaamini uweza wake
Na pia Tunaamini nguvu ya Msalaba kupitia Kristo Yesu.
„Hakuna aliye mtakatifu kama BWANA; Kwa maana hakuna ye yote ila wewe, Wala hakuna mwamba kama Mungu wetu.“
1 Sam 2:2
Stage, PA, Backline, Screen, Lights - HADDYPRO CO LTD
Light Engineer - JORAM LIGHTS
Audio Mixing & Mastering - QUILLY JAPHETY
Video Director - SAMVISTAR
Dressed by KUYA CREATION
Connect with us
YouTube: AICT Magomeni Vijana Choir
Instagram: @mvc_magomeni
Facebook: Aict Magomeni Vijana Choir
TikTok: @mvc_magomeni
Threads: @mvc_magomeni
Contact us:
WhatsApp: +255 765 070 395
Email: aictmvc2003@gmail.com
Ещё видео!