#PAPI_CLEVER_DORCAS
#JE_UMELISIKIA_JINA_ZULI
#NYIMBO_ZA_WOKOVU
#INDIRIMBO_ZO_MU_GITABO
#MORNING_WORSHIP
Audio Producer : Papi Clever
Video Director : MUSINGA
D.o.p ; Musinga, Kayitare, Chrispen
Video Editor : Cyusa
colorist : Cyusa
location ; KIGALI
Dressing : F&Y
You can support this ministry through
Phone: +250783255262
Email : Cleverpapi18@gmail.com
Number 299
NYIMBO ZA WOKOVU
1
Je, umelisikia jina zuri, - Have you heard the beautiful name
Jina la Mwokozi wetu? - the Name of our Savior?
Linaimbiwa duniani pote - It is sung all over the world
na katika watu wote. - and among all people.
Yesu, jina hilo linapita - Jesus, that name surpasses
majina yote kwa uzuri! - all names in beauty!
Ni lenye nguvu ya kutuokoa - It has the power to save us
na hatia na makosa. - from guilt and mistakes
2
Linafariji moyo wa huzuni, - It comforts the sad heart
latutia raha kuu. - it gives us great pleasure
Katika shida na hatari huku - In trouble and danger
jina hili latulinda. - this name protects us.
3
Katika giza huku jina hili - In the darkness while this name
linang’aa kama nyota, - shines like a star,
lanipa utulivu na ‘hodari - it gives me peace and strength
siku zote hata kufa. - always until death
4
Majina yote yasahauliwa, - All names are forgotten
ila jina lake Yesu - but the name of Jesus
milele litang’aa huko juu. - It will always shine in heaven
Yesu, jina nzuri mno! - Jesus, what a beautiful name!
Amazina yos' aribagirana - All names are forgotten
Kerets' izina rya Yesu. - except the name of Jesus
Rizahora rimurika mw ijuru. - It will always shine in heaven
Yesu ni we zina ryiza. - Jesus is the beautiful name
Ref:
Yesu ni we zina rihebuje, - Jesus is the glorious name
Rirut’ayandi yose mw isi. - It is better than any other in the world
Rifit' imbaraga zo kudufasha, - It has the power to help us
Ridukiz' ibyaha byose. - It saves us from all sins
#kenyagospel
#tanzaniagospel #swahiligospel #swahilimusic #kenyangospel #congogospelmusic Alka Mbumba #kenya #kenyadigitalnews #RoseMuhando #SecretAgenda #Gospsongs #Gospelmusic2022 #Jesus
#kelsykerubo #rosemuhando #msanii_music_group
Kelsy Kerubo
Tanzanian icon, Rose Muhando.
JUSTINA SYOKAU (MADAM 2020) - TI UHORO
rose muhando songs
Rose Muhando - Secret Agend
Shetani huzuia sana maono yako, sasa tumechoka na kama mbaya iwe mbaya lazima apigwe.
ROSE MUHANDO - KAMA MBAYA MBAYA
Ещё видео!