#PhyllisMutisya #Tukilanie #NgwateKwoko #NgommaGospel
This song encourages us about friendship, brotherhood and ministry. Kuzima ndoto ya mwenzio, hakuwezi kufanya maono yako yanawiri. Support your friend's dreams and believe in yourself too.
Lazima tushirikiane, tuhimizane na kutiana nguvu katika Safari hii.Tenda wema, na Mungu atakubariki. Mtakie mwenzio mema and God will bless you. Ngwate kwoko ngukwate kwaku tusinde vamwe.
#Tukilanie #NgwateKwoko #EndwaTukilanie
Ещё видео!