Mkutano Mkuu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMA unaendelea muda huu katika ukumbi wa mikutano Mlimani City ukiwa unatarajiwa kuidhinisha mapendekeo yaliyopitishwa na Baraza Kuu ikiwemo majina ya wagombea urais kwa Tanzania bara na mgombea urais #zanzibar
#AzamNEWS #CHADEMA #ChamaChaMapinduzi #Tanzania #UchaguziMkuu #Uchaguzi2020 #UchaguziMkuu2020
Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► [ Ссылка ]
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: [ Ссылка ]
►INSTAGRAM: [ Ссылка ]
►TWITTER: [ Ссылка ]
►FACEBOOK: [ Ссылка ]
►WEBSITE: [ Ссылка ]
Ещё видео!