AINA ZA UTE UTAKAO KWA MWANAMKE NA MAANA YAKE
1.UTE WA MAJI MAJI
Huu ndo Ute wa kila mwanamke mwenye afya bora ya kizazi anapaswa kuwa nao. Kukosa ute huu humanisha uhitaji wa kupata tiba hosptal.
2.UTE WA NJANO
Ute huu humanisha hali ya kuwepo kwa maambukizi ya bacteria ama magonjwa mengine ya zinaa.
3.UTE WA KAHAWIA (BROWN)
Ute huu humtoka mwanamke pindi ANAPOZALIWA hedhi yake.
Ute huu huambatana pamoja na damu damu kiasi
Na huwa zaidi kwa wenye hedhi za kubadilika lakini pia Ute huu unaweza tokea katika kipindi Cha mwanzo cha ujauzito.
Pia Ute huu ikikaa kwa muda mrefu unaweza manisha saratani ya shingo ya kizazi
UTE MWEUPE MZITO
Hii huwakilisha hali ya kawaida ya Ute kipindi uke unajisafisha
Huambatana na Harufu mbaya, kuwashwa, kujikuna
Ukiona hali hii Nenda kamuone dakitari
MWISHO:
Mara nyingi kuzarau aina za ute kunaweza kukupelekea ukapata hata PID kwa iyo nenda kamuone dakitari aliyekaribu na wewe.
🌷🌷🌷
KWA MASWALI: 0752877253 WHATSAAP PEKEE INATOSHA .
Ещё видео!