Hakuna jambo tunaloweza kulifikia katika maisha kama sio kwa Wema wa Mungu. Huruma ya Mungu kwetu ni Kubwa sana na ndiyo sababu tunapaswa kumshukuru kwa wema wake kwetu.
Ungana nami katika wimbo huu unaoitwa WEMA WAKO WA AJABU.
Wimbo huu umetungwa naye Angelo Kitosi, na kurekodiwa katika studio za RAJO Productions. Kinanda Kimechezwa na Ray Ufunguo.
Liturgical dance imefanywa na kikundi cha ARUSHA ELITE DANCERS.
Mungu wa Mbinguni atubariki sana.
Tradition: “Hehe Melody”
#trending #catholicgospelmusic #rajoproductions
#anastaciamuema
Ещё видео!