“Mara nyingi mpiganaji yeyote hutumia mbinu alizonazo yeye lakini pia anatafuta na mbinu ambazo wenzake wengi waliotangulia wanazitumia," ni miongoni mwa kauli za Kamishina Mkuu wa mamlaka ya kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya Rogers Sianga aliyoongea wakati wa uzinduzi wa kituo cha Taarifa ndani ya ubalozi wa Italia kitakachopambana na biashara ya dawa za kulevya.
Ещё видео!