Wakati zoezi la usajili wa laini za simu likiendelea nchini, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Kaskazini imesisitiza matumizi ya utambulisho maalumu kwa mtoa huduma yaani kampuni za simu kufuatia taarifa za kuwepo kwa mawakala wasio na utambulisho wanaoendesha zoezi hilo kwa wananchi.
#AzamNews #AzamTVUpdates #UTV
Ещё видео!