IDARA ya Uhamiaji mkoani Tanga, imewafikisha mahakamani wahamiaji haramu wapatao 234 raia wa nchini Ethiopia walioingia nchini kinyume cha sheria kwa nyakati tofauti kuanzia Septemba mwaka huu.
Sanjari na wahamiaji hao kukamatwa na kufikishwa mahakamani, wengine zaidi ya 600 wapo katika gereza Kuu la Maweni mkoani Tanga, wakitumikia vifungo na wengine wakisubiri mashauri ya kesi zao zilizopo mahakamani.
Ещё видео!