Ni tamasha la uimbaji yaani (UKWAKATA) Jimbo katoliki la Iringa ambapo kwaya nyingi zilishiriki kuimba nyimbo mbili ya kwanza #familiayaajabu na ya pili ni #kanisalaBwana ...
Na kwaya iliyopo on stage sasa ni kwaya ya Shirkisho kutoka parokia ya Consolata-MSHINDO (Iringa ) wakiimba #familiayaAjabu
Usiache ku #subscribe, like ,comment na Ku #share kwa ndugu jamaa na marafiki ili nao waonje upendo huu wa Kristo
#deniskulwa #deniskulwagospelmedia #weproclaimthegospel #subscribeformoreupdates
Ещё видео!