Upendo wangu na Yesu ni uopendo wa milele; Hakuna wakunitenga na Mwokozi; Je ni dhiki, njaa, uchi, shida, ni mambo yaliyo, ao yajao? MTUNGAJI: Torvald LÖwe.
Tunashukuru kwa watungaji wote wa kitabu cha Nyimbo za wokovu.Mungu awabariki kwa nyimbo hizi ambazo zimejaa upako wa Roho Mtakatifu.
Nyimbo hizi za wokovu naziimba bila chombo yoyote ya musique, najisikia nimtukuze Mungu, bila kuongeza kitu.(Naturellement). Asante kwenu.
Contact: EV. Mitamba Mireille A. Nyamangyoku
Rue Pierre Bauwens 44,
6030 MARCHIENNE-AU-PONT.
BELGIQUE.
Gsm: +32 489 702 018
Fixe: + 32 71 95 79 89
E-mail: mireillemitamba@yahoo.fr
Ещё видео!