Mpenja Tv tumefanya mahojiano na Mshambuliaji wa Yanga Princes Aisha Masaka kuelekea mchezo wa Watani wa Jadi katika Ligi ya Wanawake.
.
Yanga Princes wataumana na Simba Queens Januari 8 2022.
.
Fungua video hii kupata mahojiano kamili na Straika wa boli Aisha Masaka almaarufu kama Aisha Magoli.
.
#aishamasaka #yangaprinces #simbaqueens #mpenjatv #kariakooderby
Ещё видео!